Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 26:69 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 26:69 BHN (Biblia Habari Njema)

Petro alikuwa ameketi nje uani. Basi, mtumishi mmoja wa kike akamwendea, akasema, “Wewe ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.”

Shirikisha
Mathayo 26 BHN

Mathayo 26:69 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na Petro alikuwa ameketi nje behewani; kijakazi mmoja akamwendea, akasema, Wewe nawe ulikuwapo pamoja na Yesu wa Galilaya.

Shirikisha
Mathayo 26 SUV

Mathayo 26:69 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na Petro alikuwa ameketi nje uani; kijakazi mmoja akamwendea, akasema, Wewe nawe ulikuwapo pamoja na Yesu wa Galilaya.

Shirikisha
Mathayo 26 SRUV

Mathayo 26:69 NEN (Neno)

Wakati huu Petro alikuwa amekaa nje uani. Mjakazi mmoja akamjia na kumwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.”

Shirikisha
Mathayo 26 NEN