Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 26:65 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 26:65 BHN (Biblia Habari Njema)

Hapo, kuhani mkuu akararua mavazi yake, akasema, “Amekufuru! Tuna haja gani tena ya mashahidi? Sasa mmesikia kufuru yake.

Shirikisha
Mathayo 26 BHN

Mathayo 26:65 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ndipo Kuhani Mkuu akararua mavazi yake, akisema, Amekufuru; mna haja gani tena ya mashahidi? Tazameni, sasa mmesikia hiyo kufuru yake

Shirikisha
Mathayo 26 SUV

Mathayo 26:65 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ndipo Kuhani Mkuu akararua mavazi yake, akisema, Amekufuru; mna haja gani tena ya mashahidi? Tazameni, sasa mmesikia hiyo kufuru yake

Shirikisha
Mathayo 26 SRUV

Mathayo 26:65 NEN (Neno)

Ndipo kuhani mkuu akararua mavazi yake na kusema, “Amekufuru! Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi? Tazama, sasa ninyi mmesikia alivyokufuru.

Shirikisha
Mathayo 26 NEN