Mathayo 26:62 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 26:62 BHN (Biblia Habari Njema)
Kuhani mkuu akasimama, akamwuliza Yesu, “Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?”
Shirikisha
Mathayo 26 BHNMathayo 26:62 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini?
Shirikisha
Mathayo 26 SUVMathayo 26:62 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini?
Shirikisha
Mathayo 26 SRUVMathayo 26:62 NEN (Neno)
Kisha kuhani mkuu akasimama na kumwambia Yesu, “Je, wewe hutajibu? Ni ushahidi gani hawa watu wanauleta dhidi yako?”
Shirikisha
Mathayo 26 NEN