Mathayo 26:61 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 26:61 BHN (Biblia Habari Njema)
wakasema, “Mtu huyu alisema: ‘Ninaweza kuliharibu hekalu la Mungu na kulijenga tena kwa siku tatu.’”
Shirikisha
Mathayo 26 BHNMathayo 26:61 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata baadaye wawili wakatokea, wakasema, Huyu alisema, Naweza kulivunja hekalu la Mungu, na kulijenga kwa siku tatu.
Shirikisha
Mathayo 26 SUVMathayo 26:61 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na baadaye wawili wakatokea, wakasema, Huyu alisema, Naweza kulivunja hekalu la Mungu, na kulijenga kwa siku tatu.
Shirikisha
Mathayo 26 SRUVMathayo 26:61 NEN (Neno)
na kusema, “Huyu mtu alisema, ‘Ninaweza kulivunja Hekalu la Mungu na kulijenga tena kwa siku tatu.’ ”
Shirikisha
Mathayo 26 NEN