Mathayo 26:60 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 26:60 BHN (Biblia Habari Njema)
lakini hawakupata ushahidi wowote, ingawa walikuja mashahidi wengi wa uongo. Mwishowe wakaja mashahidi wawili
Shirikisha
Mathayo 26 BHNMathayo 26:60 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wasiuone wangawa walitokea mashahidi wa uongo wengi.
Shirikisha
Mathayo 26 SUVMathayo 26:60 SRUV (Swahili Revised Union Version)
wasiuone ingawa walitokea mashahidi wa uongo wengi.
Shirikisha
Mathayo 26 SRUVMathayo 26:60 NEN (Neno)
Lakini hawakupata jambo lolote, ingawa mashahidi wengi wa uongo walijitokeza. Hatimaye wakajitokeza mashahidi wawili wa uongo
Shirikisha
Mathayo 26 NEN