Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 26:57 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 26:57 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, hao watu waliomkamata Yesu walimpeleka nyumbani kwa Kayafa, kuhani mkuu, walikokusanyika waalimu wa sheria na wazee.

Shirikisha
Mathayo 26 BHN

Mathayo 26:57 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Nao waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa, Kuhani Mkuu, walikokuwa wamekutanika waandishi na wazee.

Shirikisha
Mathayo 26 SUV

Mathayo 26:57 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Nao waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa, Kuhani Mkuu, walikokuwa wamekutanika waandishi na wazee.

Shirikisha
Mathayo 26 SRUV

Mathayo 26:57 NEN (Neno)

Wale waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa, kuhani mkuu, mahali ambapo walimu wa sheria pamoja na wazee walikuwa wamekusanyika.

Shirikisha
Mathayo 26 NEN