Mathayo 26:48 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 26:48 BHN (Biblia Habari Njema)
Huyo aliyetaka kumsaliti Yesu, alikuwa amekwisha kuwapa ishara akisema: “Yule nitakayembusu ndiye; mkamateni.”
Shirikisha
Mathayo 26 BHNMathayo 26:48 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yule mwenye kumsaliti alikuwa amewapa ishara, akisema, Nitakayembusu, huyo ndiye; mkamateni.
Shirikisha
Mathayo 26 SUVMathayo 26:48 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na yule mwenye kumsaliti alikuwa amewapa ishara, akisema, Nitakayembusu, huyo ndiye; mkamateni.
Shirikisha
Mathayo 26 SRUVMathayo 26:48 NEN (Neno)
Basi msaliti alikuwa amewapa hao watu ishara, kwamba: “Yule nitakayembusu ndiye. Mkamateni.”
Shirikisha
Mathayo 26 NEN