Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 26:33 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 26:33 BHN (Biblia Habari Njema)

Petro akamwambia Yesu, “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakuacha kamwe.”

Shirikisha
Mathayo 26 BHN

Mathayo 26:33 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Petro akajibu, akamwambia, Wajapochukizwa wote kwa ajili yako, mimi sitachukizwa kamwe.

Shirikisha
Mathayo 26 SUV

Mathayo 26:33 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Petro akajibu, akamwambia, Wajapochukizwa wote kwa ajili yako, mimi sitachukizwa kamwe.

Shirikisha
Mathayo 26 SRUV

Mathayo 26:33 NEN (Neno)

Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.”

Shirikisha
Mathayo 26 NEN