Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 26:31 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 26:31 BHN (Biblia Habari Njema)

Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu wa leo, nyinyi nyote mtakuwa na mashaka nami, maana Maandiko Matakatifu yasema: ‘Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.’

Shirikisha
Mathayo 26 BHN

Mathayo 26:31 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ndipo Yesu akawaambia, Ninyi nyote mtachukizwa kwa ajili yangu usiku huu kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.

Shirikisha
Mathayo 26 SUV

Mathayo 26:31 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ndipo Yesu akawaambia, Ninyi nyote mtachukizwa kwa ajili yangu usiku huu kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.

Shirikisha
Mathayo 26 SRUV

Mathayo 26:31 NEN (Neno)

Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu, ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: “ ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo wa hilo kundi watatawanyika.’

Shirikisha
Mathayo 26 NEN