Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 26:3 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 26:3 BHN (Biblia Habari Njema)

Wakati huo makuhani wakuu na wazee wa watu walikutana pamoja katika ukumbi wa Kayafa, kuhani mkuu.

Shirikisha
Mathayo 26 BHN

Mathayo 26:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakati ule wakuu wa makuhani, na wazee wa watu, wakakusanyika katika behewa ya Kuhani Mkuu, jina lake Kayafa

Shirikisha
Mathayo 26 SUV

Mathayo 26:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakati ule wakuu wa makuhani, na wazee wa watu, wakakusanyika katika behewa ya Kuhani Mkuu, jina lake Kayafa

Shirikisha
Mathayo 26 SRUV

Mathayo 26:3 NEN (Neno)

Basi viongozi wa makuhani na wazee wa watu wakakusanyika katika jumba la utawala la kuhani mkuu, jina lake Kayafa.

Shirikisha
Mathayo 26 NEN