Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 26:15 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 26:15 BHN (Biblia Habari Njema)

akawaambia, “Mtanipa kitu gani kama nikimkabidhi Yesu kwenu?” Wakamhesabia vipande thelathini vya fedha

Shirikisha
Mathayo 26 BHN

Mathayo 26:15 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

akasema, Ni nini mtakachonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelathini vya fedha.

Shirikisha
Mathayo 26 SUV

Mathayo 26:15 SRUV (Swahili Revised Union Version)

akasema, Ni nini mtakachonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelathini vya fedha.

Shirikisha
Mathayo 26 SRUV

Mathayo 26:15 NEN (Neno)

na kuuliza, “Mtanipa nini nikimtia Yesu mikononi mwenu?” Wakamlipa vipande thelathini vya fedha.

Shirikisha
Mathayo 26 NEN