Mathayo 26:14 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 26:14 BHN (Biblia Habari Njema)
Kisha, Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili, akaenda kwa makuhani wakuu
Shirikisha
Mathayo 26 BHNMathayo 26:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati huo mmoja wa wale Thenashara, jina lake Yuda Iskariote, aliwaendea wakuu wa makuhani
Shirikisha
Mathayo 26 SUVMathayo 26:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wakati huo mmoja wa wale Kumi na Wawili, jina lake Yuda Iskarioti, aliwaendea wakuu wa makuhani
Shirikisha
Mathayo 26 SRUVMathayo 26:14 NEN (Neno)
Kisha mmoja wa wale wanafunzi kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alienda kwa viongozi wa makuhani
Shirikisha
Mathayo 26 NEN