Mathayo 26:10 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 26:10 BHN (Biblia Habari Njema)
Yesu alitambua mawazo yao, akawaambia, “Mbona mnamsumbua huyu mama? Yeye amenitendea jambo jema.
Shirikisha
Mathayo 26 BHNMathayo 26:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akatambua akawaambia, Mbona mnamtaabisha mwanamke? Maana ni kazi njema aliyonitendea mimi.
Shirikisha
Mathayo 26 SUVMathayo 26:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Yesu akatambua akawaambia, Mbona mnamtaabisha mwanamke? Maana ni kazi njema aliyonitendea mimi.
Shirikisha
Mathayo 26 SRUVMathayo 26:10 NEN (Neno)
Yesu, akijua jambo hili, akawaambia, “Mbona mnamsumbua huyu mwanamke? Yeye amenitendea jambo zuri sana.
Shirikisha
Mathayo 26 NEN