Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 25:26 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 25:26 BHN (Biblia Habari Njema)

“Bwana wake akamwambia, ‘Wewe ni mtumishi mwovu na mvivu! Unajua kuwa mimi huvuna mahali ambapo sikupanda, na hukusanya pale ambapo sikutawanya.

Shirikisha
Mathayo 25 BHN

Mathayo 25:26 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Bwana wake akajibu, akamwambia, Wewe mtumwa mbaya na mlegevu, ulijua ya kuwa navuna nisipopanda, nakusanya nisipotawanya

Shirikisha
Mathayo 25 SUV

Mathayo 25:26 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Bwana wake akajibu, akamwambia, Wewe mtumwa mbaya na mlegevu, ulijua ya kuwa navuna nisipopanda, nakusanya nisipotawanya

Shirikisha
Mathayo 25 SRUV

Mathayo 25:26 NEN (Neno)

“Bwana wake akajibu, ‘Wewe mtumishi mwovu na mvivu! Ulijua kwamba ninavuna mahali nisipopanda na kukusanya mahali nisipotawanya mbegu.

Shirikisha
Mathayo 25 NEN