Rukia hadi maudhui

Mathayo 25:20 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 25:20 BHN (Biblia Habari Njema)

Mtumishi aliyekabidhiwa fedha talanta tano akaja amechukua talanta tano faida, akamwambia, ‘Bwana, ulinikabidhi talanta tano, hapa pana talanta tano zaidi faida niliyopata.’

Mathayo 25 BHN

Mathayo 25:20 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Akaja yule aliyepokea talanta tano, akaleta talanta nyingine tano, akisema, Bwana, uliweka kwangu talanta tano; tazama, talanta nyingine tano nilizopata faida.

Mathayo 25 SUV

Mathayo 25:20 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akaja yule aliyepokea talanta tano, akaleta talanta nyingine tano, akisema, Bwana, uliweka kwangu talanta tano; tazama, talanta nyingine tano nilizopata faida.

Mathayo 25 SRUV

Mathayo 25:20 NEN (Neno)

Yule mtumishi aliyepokea talanta tano akaja, akaleta nyingine tano zaidi. Akasema, ‘Bwana uliweka kwenye uangalizi wangu talanta tano. Tazama, nimepata faida ya talanta tano zaidi.’

Mathayo 25 NEN