Mathayo 25:10 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 25:10 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, wale wasichana wapumbavu walipokwenda kununua mafuta, bwana arusi akafika, na wale wasichana waliokuwa tayari wakaingia pamoja naye katika jumba la harusi, kisha mlango ukafungwa.
Mathayo 25:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao walipokuwa wakienda kununua, bwana arusi akaja, nao waliokuwa tayari wakaingia pamoja naye arusini; mlango ukafungwa.
Mathayo 25:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na hao walipokuwa wakienda kununua, bwana arusi akaja, nao waliokuwa tayari wakaingia pamoja naye arusini; mlango ukafungwa.
Mathayo 25:10 NEN (Neno)
“Nao walipokuwa wakienda kununua mafuta, bwana arusi akafika. Wale wanawali waliokuwa tayari wakaingia ndani pamoja naye kwenye karamu ya arusi na mlango ukafungwa.