Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 23:9 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 23:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Wala msimwite mtu yeyote ‘Baba’ hapa duniani, maana Baba yenu ni mmoja tu, aliye mbinguni.

Shirikisha
Mathayo 23 BHN

Mathayo 23:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.

Shirikisha
Mathayo 23 SUV

Mathayo 23:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.

Shirikisha
Mathayo 23 SRUV

Mathayo 23:9 NEN (Neno)

Nanyi msimwite mtu yeyote ‘Baba,’ hapa duniani, kwa maana mnaye Baba mmoja, naye yuko mbinguni.

Shirikisha
Mathayo 23 NEN