Mathayo 23:24 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 23:24 BHN (Biblia Habari Njema)
Viongozi vipofu! Mnatoa nzi katika kinywaji, lakini mnameza ngamia!
Shirikisha
Mathayo 23 BHNMathayo 23:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngamia.
Shirikisha
Mathayo 23 SUVMathayo 23:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngamia.
Shirikisha
Mathayo 23 SRUVMathayo 23:24 NEN (Neno)
Ninyi viongozi vipofu, mnachuja kiroboto lakini mnameza ngamia!
Shirikisha
Mathayo 23 NEN