Mathayo 23:13 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 23:13 BHN (Biblia Habari Njema)
“Ole wenu waalimu wa sheria na Mafarisayo, wanafiki! Mnaufunga mlango wa ufalme wa mbinguni mbele ya macho ya watu. Nyinyi wenyewe hamwingii ndani, wala hamwaruhusu wanaotaka kuingia waingie. [
Shirikisha
Mathayo 23 BHNMathayo 23:13 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnawafungia watu ufalme wa mbinguni; ninyi wenyewe hamwingii, wala wanaoingia hamwaachi waingie.
Shirikisha
Mathayo 23 SUVMathayo 23:13 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ole wenu Waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnawafungia watu ufalme wa mbinguni; ninyi wenyewe hamwingii, wala wanaoingia hamwaachi waingie.
Shirikisha
Mathayo 23 SRUVMathayo 23:13 NEN (Neno)
“Lakini ole wenu, walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Kwa maana mnawafungia watu milango ya ufalme wa mbinguni. Ninyi wenyewe hamuingii humo, nao wale wanaotaka kuingia mnawazuia. [
Shirikisha
Mathayo 23 NEN