Mathayo 23:1 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 23:1 BHN (Biblia Habari Njema)
Kisha Yesu akauambia umati wa watu pamoja na wanafunzi wake
Shirikisha
Mathayo 23 BHNMathayo 23:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yesu akawaambia makutano na wanafunzi wake, akasema
Shirikisha
Mathayo 23 SUVMathayo 23:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yesu akawaambia makutano na wanafunzi wake, akasema
Shirikisha
Mathayo 23 SRUVMathayo 23:1 NEN (Neno)
Kisha Yesu akaambia wale umati wa watu na wanafunzi wake
Shirikisha
Mathayo 23 NEN