Rukia hadi maudhui

Mathayo 21:8 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 21:8 BHN (Biblia Habari Njema)

Umati mkubwa wa watu wakatandaza nguo zao barabarani, na watu wengine wakakata matawi ya miti wakayatandaza barabarani.

Mathayo 21 BHN

Mathayo 21:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Watu wengi katika ule mkutano wakatandaza nguo zao njiani; na wengine wakakata matawi ya miti, wakayatandaza njiani.

Mathayo 21 SUV

Mathayo 21:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Watu wengi katika ule mkutano wakatandaza nguo zao njiani; na wengine wakakata matawi ya miti, wakayatandaza njiani.

Mathayo 21 SRUV

Mathayo 21:8 NEN (Neno)

Umati mkubwa wa watu wakatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakakata matawi kwenye miti, wakayatandaza barabarani.

Mathayo 21 NEN