Rukia hadi maudhui

Mathayo 21:44 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 21:44 BHN (Biblia Habari Njema)

Atakayeanguka juu ya jiwe hilo atavunjika vipandevipande; na likimwangukia mtu yeyote, litamponda” (taz. Luka 20:18).

Mathayo 21 BHN

Mathayo 21:44 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika-vunjika; naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki.

Mathayo 21 SUV

Mathayo 21:44 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vipande vipande; naye yeyote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki.

Mathayo 21 SRUV

Mathayo 21:44 NEN (Neno)

Yeye aangukaye juu ya jiwe hili atavunjika vipande vipande, lakini yule litakayemwangukia atasagwa kabisa.”

Mathayo 21 NEN