Mathayo 21:4 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 21:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Jambo hili lilifanyika ili yale yaliyosemwa na nabii yatimie
Mathayo 21:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na nabii, akisema
Mathayo 21:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Haya yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na nabii, akisema
Mathayo 21:4 NEN (Neno)
Haya yalitukia ili litimie neno lililonenwa na nabii, aliposema