Rukia hadi maudhui

Mathayo 21:37 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 21:37 BHN (Biblia Habari Njema)

Mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: ‘Watamjali mwanangu.’

Mathayo 21 BHN

Mathayo 21:37 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mwishowe akamtuma mwanawe kwao, akisema, Watamstahi mwanangu.

Mathayo 21 SUV

Mathayo 21:37 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mwishowe akamtuma mwanawe kwao, akisema, Watamstahi mwanangu.

Mathayo 21 SRUV

Mathayo 21:37 NEN (Neno)

Mwisho wa yote, akamtuma mwanawe kwao, akisema, ‘Watamheshimu mwanangu.’

Mathayo 21 NEN