Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 20:9 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 20:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, wakaja wale walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakapokea kila mmoja fedha dinari moja.

Shirikisha
Mathayo 20 BHN

Mathayo 20:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.

Shirikisha
Mathayo 20 SUV

Mathayo 20:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.

Shirikisha
Mathayo 20 SRUV

Mathayo 20:9 NEN (Neno)

“Wale vibarua walioajiriwa saa kumi na moja wakaja, na kila mmoja wao akapokea dinari moja.

Shirikisha
Mathayo 20 NEN