Rukia hadi maudhui

Mathayo 20:17 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 20:17 BHN (Biblia Habari Njema)

Yesu alipokuwa anakwenda juu Yerusalemu, aliwachukua wale wanafunzi kumi na wawili faraghani, na njiani akawaambia

Mathayo 20 BHN

Mathayo 20:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hata Yesu alipokuwa akipanda kwenda Yerusalemu, aliwachukua wale wanafunzi kumi na wawili faraghani; na njiani akawaambia

Mathayo 20 SUV

Mathayo 20:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Yesu alipokuwa akipanda kwenda Yerusalemu, aliwachukua wale wanafunzi kumi na wawili faraghani; na njiani akawaambia

Mathayo 20 SRUV

Mathayo 20:17 NEN (Neno)

Basi Yesu alipokuwa anapanda kwenda Yerusalemu, aliwaita kando wale wanafunzi kumi na wawili na kuwaambia

Mathayo 20 NEN