Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 19:16 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 19:16 BHN (Biblia Habari Njema)

Mtu mmoja alimjia Yesu, akamwuliza, “Mwalimu, nifanye kitu gani chema ili niupate uhai wa milele?”

Shirikisha
Mathayo 19 BHN

Mathayo 19:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na tazama, mtu mmoja akamwendea akamwambia, Mwalimu, nitende jambo gani jema, ili nipate uzima wa milele?

Shirikisha
Mathayo 19 SUV

Mathayo 19:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na tazama, mtu mmoja akamwendea akamwambia, Mwalimu, nitende jambo gani jema, ili nipate uzima wa milele?

Shirikisha
Mathayo 19 SRUV

Mathayo 19:16 NEN (Neno)

Mtu mmoja akamjia Yesu na kumuuliza, “Mwalimu mwema, nifanye jambo gani jema ili nipate uzima wa milele?”

Shirikisha
Mathayo 19 NEN