Mathayo 18:7 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 18:7 BHN (Biblia Habari Njema)
Ole wake ulimwengu kwa sababu ya vikwazo vinavyowaangusha wengine. Vikwazo hivyo ni lazima vitokee lakini ole wake mtu yule atakayevisababisha.
Shirikisha
Mathayo 18 BHNMathayo 18:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole ni wa ulimwengu kwa sababu ya mambo ya kukosesha! Maana hayana budi kuja mambo ya kukosesha; lakini ole wake mtu yule aliletaye jambo la kukosesha!
Shirikisha
Mathayo 18 SUVMathayo 18:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ole ni wa ulimwengu kwa sababu ya mambo ya kukosesha! Maana hayana budi kuja mambo ya kukosesha; lakini ole wake mtu yule aliletaye jambo la kukosesha!
Shirikisha
Mathayo 18 SRUVMathayo 18:7 NEN (Neno)
“Ole kwa ulimwengu kwa sababu ya mambo yanayosababisha watu kutenda dhambi! Mambo hayo lazima yawepo, lakini ole wake mtu yule ambaye huyasababisha.
Shirikisha
Mathayo 18 NEN