Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 18:34 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 18:34 BHN (Biblia Habari Njema)

“Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.

Shirikisha
Mathayo 18 BHN

Mathayo 18:34 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Bwana wake akaghadhibika, akampeleka kwa watesaji, hata atakapoilipa deni ile yote.

Shirikisha
Mathayo 18 SUV

Mathayo 18:34 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Bwana wake akaghadhibika, akampeleka kwa watesaji, hata atakapoilipa deni ile yote.

Shirikisha
Mathayo 18 SRUV

Mathayo 18:34 NEN (Neno)

Kwa hasira, yule bwana wake akamtia yule mtumishi mikononi mwa askari wa gereza ili ateswe hadi atakapolipa yote aliyokuwa anadaiwa.

Shirikisha
Mathayo 18 NEN