Rukia hadi maudhui

Mathayo 18:23 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 18:23 BHN (Biblia Habari Njema)

Ndiyo maana ufalme wa mbinguni unafanana na mfalme mmoja aliyeamua kukagua hesabu za watumishi wake.

Mathayo 18 BHN

Mathayo 18:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa sababu hii ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyetaka kufanya hesabu na watumwa wake.

Mathayo 18 SUV

Mathayo 18:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa sababu hii ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyetaka kufanya hesabu na watumwa wake.

Mathayo 18 SRUV

Mathayo 18:23 NEN (Neno)

“Kwa hiyo ufalme wa mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme aliyetaka kufanya hesabu zake za fedha na watumishi wake.

Mathayo 18 NEN