Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 18:17 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 18:17 BHN (Biblia Habari Njema)

Asipowasikia hao, liambie kanisa. Na kama hatalisikia kanisa, na awe kwako kama watu wasiomjua Mungu na watozaushuru.

Shirikisha
Mathayo 18 BHN

Mathayo 18:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.

Shirikisha
Mathayo 18 SUV

Mathayo 18:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.

Shirikisha
Mathayo 18 SRUV

Mathayo 18:17 NEN (Neno)

Akikataa kuwasikiliza hao, liambie kanisa. Naye akikataa hata kulisikiliza kanisa, basi awe kwenu kama mtu asiyeamini au mtoza ushuru.

Shirikisha
Mathayo 18 NEN