Rukia hadi maudhui

Mathayo 15:8 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 15:8 BHN (Biblia Habari Njema)

‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.

Mathayo 15 BHN

Mathayo 15:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.

Mathayo 15 SUV

Mathayo 15:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.

Mathayo 15 SRUV

Mathayo 15:8 NEN (Neno)

“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.

Mathayo 15 NEN