Mathayo 15:6 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 15:6 BHN (Biblia Habari Njema)
basi, hapaswi tena kumheshimu baba yake! Ndivyo mnavyodharau neno la Mungu kwa kufuata mafundisho yenu wenyewe.
Mathayo 15:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi asimheshimu baba yake au mama yake. Mkalitangua neno la Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu.
Mathayo 15:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
basi asimheshimu baba yake au mama yake. Mkalitangua neno la Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu.
Mathayo 15:6 NEN (Neno)
basi hana tena sababu ya kumheshimu baba yake nacho. Basi kwa ajili ya mafundisho yenu mnavunja amri ya Mungu.