Mathayo 12:46 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 12:46 BHN (Biblia Habari Njema)
Yesu alikuwa bado anasema na umati wa watu wakati mama yake na ndugu zake walipofika na kusimama nje, wakitaka kusema naye.
Mathayo 12:46 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipokuwa katika kusema na makutano, tazama, mama yake na ndugu zake walikuwa wakisimama nje, wataka kusema naye.
Mathayo 12:46 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Alipokuwa katika kusema na makutano, tazama, mama yake na ndugu zake walikuwa wakisimama nje, wataka kusema naye.
Mathayo 12:46 NEN (Neno)
Wakati alikuwa angali anazungumza na umati wa watu, mama yake na ndugu zake wakasimama nje wakitaka kuongea naye.