Mathayo 12:39 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 12:39 BHN (Biblia Habari Njema)
Naye akawajibu, “Kizazi kiovu kisicho na uaminifu! Mnataka ishara, lakini hamtapewa ishara isipokuwa ile ishara ya nabii Yona.
Mathayo 12:39 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajibu, akawaambia, Kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona.
Mathayo 12:39 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akajibu, akawaambia, Kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona.
Mathayo 12:39 NEN (Neno)
Lakini yeye akawajibu, “Kizazi kiovu na cha uzinzi kinaomba ishara! Lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ishara ya nabii Yona.