Mathayo 12:38 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 12:38 BHN (Biblia Habari Njema)
Kisha baadhi ya waalimu wa sheria na Mafarisayo wakamwambia Yesu, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”
Mathayo 12:38 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako.
Mathayo 12:38 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hapo baadhi ya Waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako.
Mathayo 12:38 NEN (Neno)
Kisha baadhi ya Mafarisayo na walimu wa sheria wakamwambia, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”