Rukia hadi maudhui

Mathayo 12:37 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 12:37 BHN (Biblia Habari Njema)

Maana kwa maneno yako utakubaliwa kuwa mwadilifu, na kwa maneno yako utahukumiwa kuwa na hatia.”

Mathayo 12 BHN

Mathayo 12:37 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.

Mathayo 12 SUV

Mathayo 12:37 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.

Mathayo 12 SRUV

Mathayo 12:37 NEN (Neno)

Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.”

Mathayo 12 NEN