Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 12:30 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 12:30 BHN (Biblia Habari Njema)

“Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.

Shirikisha
Mathayo 12 BHN

Mathayo 12:30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mtu asiye pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutapanya.

Shirikisha
Mathayo 12 SUV

Mathayo 12:30 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mtu asiye pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutapanya.

Shirikisha
Mathayo 12 SRUV

Mathayo 12:30 NEN (Neno)

“Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya.

Shirikisha
Mathayo 12 NEN