Mathayo 12:3 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 12:3 BHN (Biblia Habari Njema)
Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma alivyofanya Daudi pamoja na wenzake wakati walipokuwa na njaa?
Shirikisha
Mathayo 12 BHNMathayo 12:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Hamkusoma alivyotenda Daudi, alipokuwa na njaa, yeye na wenziwe?
Shirikisha
Mathayo 12 SUVMathayo 12:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Hamkusoma alivyotenda Daudi, alipokuwa na njaa, yeye na wenziwe?
Shirikisha
Mathayo 12 SRUVMathayo 12:3 NEN (Neno)
Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma alichofanya Daudi na wenzake walipokuwa na njaa?
Shirikisha
Mathayo 12 NEN