Rukia hadi maudhui

Mathayo 12:24 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 12:24 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini Mafarisayo waliposikia hayo, wakasema, “Mtu huyu anawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo.”

Mathayo 12 BHN

Mathayo 12:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo.

Mathayo 12 SUV

Mathayo 12:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo.

Mathayo 12 SRUV

Mathayo 12:24 NEN (Neno)

Lakini Mafarisayo waliposikia jambo hili wakasema, “Mtu huyu anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo wachafu.”

Mathayo 12 NEN