Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 12:22 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 12:22 BHN (Biblia Habari Njema)

Hapo watu wakamletea Yesu mtu mmoja kipofu na ambaye alikuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo. Yesu akamponya hata akaweza kusema na kuona.

Shirikisha
Mathayo 12 BHN

Mathayo 12:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakati ule akaletewa mtu mwenye pepo, kipofu, naye ni bubu; akamponya, hata yule bubu akanena na kuona.

Shirikisha
Mathayo 12 SUV

Mathayo 12:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakati ule akaletewa mtu mwenye pepo, kipofu, naye ni bubu; akamponya, hata yule bubu akanena na kuona.

Shirikisha
Mathayo 12 SRUV

Mathayo 12:22 NEN (Neno)

Kisha wakamletea mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu, na alikuwa kipofu na bubu. Yesu akamponya, hata akaweza kusema na kuona.

Shirikisha
Mathayo 12 NEN