Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 12:2 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 12:2 BHN (Biblia Habari Njema)

Mafarisayo walipoona hayo, wakamwambia Yesu, “Tazama, wanafunzi wako wanafanya jambo lisilo halali kufanya siku ya Sabato.”

Shirikisha
Mathayo 12 BHN

Mathayo 12:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na Mafarisayo walipoona, walimwambia, Tazama! Wanafunzi wako wanafanya neno ambalo si halali kulifanya siku ya sabato.

Shirikisha
Mathayo 12 SUV

Mathayo 12:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na Mafarisayo walipoona, walimwambia, Tazama! Wanafunzi wako wanafanya jambo ambalo si halali kulifanya siku ya sabato.

Shirikisha
Mathayo 12 SRUV

Mathayo 12:2 NEN (Neno)

Lakini Mafarisayo walipoona jambo hili, wakamwambia, “Tazama! Wanafunzi wako wanafanya jambo lisilo halali kufanywa siku ya Sabato.”

Shirikisha
Mathayo 12 NEN