Mathayo 12:17 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 12:17 BHN (Biblia Habari Njema)
ili yale aliyosema Mungu kwa njia ya nabii Isaya yatimie
Mathayo 12:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili litimie neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema
Mathayo 12:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)
ili litimie neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema