Rukia hadi maudhui

Mathayo 12:15 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 12:15 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini Yesu alipojua jambo hilo, akatoka mahali pale. Watu wengi walimfuata, akawaponya wagonjwa wote

Mathayo 12 BHN

Mathayo 12:15 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Naye Yesu hali akiyafahamu hayo akaondoka huko; na watu wengi wakamfuata; akawaponya wote

Mathayo 12 SUV

Mathayo 12:15 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Naye Yesu hali akiyafahamu hayo akaondoka huko; na watu wengi wakamfuata; akawaponya wote

Mathayo 12 SRUV

Mathayo 12:15 NEN (Neno)

Lakini Yesu alipoyatambua mawazo yao, akaondoka mahali hapo. Watu wengi walimfuata, naye akawaponya wote waliokuwa wagonjwa miongoni mwao

Mathayo 12 NEN