Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 11:7 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 11:7 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, hao wajumbe wa Yohane walipokuwa wanakwenda zao, Yesu alianza kuyaambia makundi ya watu habari za Yohane: “Mlikwenda kutazama nini kule jangwani? Je, mlitaka kuona mwanzi unaotikiswa na upepo?

Shirikisha
Mathayo 11 BHN

Mathayo 11:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na hao walipokwenda zao, Yesu alianza kuwaambia makutano habari za Yohana, Mlitoka kwenda nyikani kutazama nini? Unyasi ukitikiswa na upepo?

Shirikisha
Mathayo 11 SUV

Mathayo 11:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na hao walipokwenda zao, Yesu alianza kuwaambia makutano habari za Yohana, Mlitoka kwenda nyikani kutazama nini? Unyasi ukitikiswa na upepo?

Shirikisha
Mathayo 11 SRUV

Mathayo 11:7 NEN (Neno)

Wale wanafunzi wa Yohana walipokuwa wanaondoka, Yesu akaanza kusema na umati wa watu kuhusu Yohana Mbatizaji. Akawauliza, “Mlipoenda kule nyikani, mlienda kuona nini? Je, ni unyasi ukipeperushwa na upepo?

Shirikisha
Mathayo 11 NEN