Mathayo 11:4 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 11:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona
Shirikisha
Mathayo 11 BHNMathayo 11:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akajibu akawaambia, Nendeni mkamweleze Yohana mnayoyasikia na kuyaona
Shirikisha
Mathayo 11 SUVMathayo 11:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Yesu akajibu akawaambia, Nendeni mkamweleze Yohana mnayoyasikia na kuyaona
Shirikisha
Mathayo 11 SRUVMathayo 11:4 NEN (Neno)
Yesu akajibu, “Rudini mkamwambie Yohana yale mnayosikia na kuyaona
Shirikisha
Mathayo 11 NEN