Mathayo 11:14 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 11:14 BHN (Biblia Habari Njema)
Kama mwaweza kukubali basi, Yohane ndiye Elia ambaye angekuja.
Mathayo 11:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ikiwa mnataka kukubali, yeye ndiye Eliya atakayekuja.
Mathayo 11:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na ikiwa mnataka kukubali, yeye ndiye Eliya atakayekuja.
Mathayo 11:14 NEN (Neno)
Ikiwa mko tayari kukubali hilo, yeye ndiye yule Eliya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja.