Mathayo 11:13 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 11:13 BHN (Biblia Habari Njema)
Mafundisho yote ya manabii na sheria mpaka wakati wa Yohane yalibashiri juu ya nyakati hizi.
Mathayo 11:13 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.
Mathayo 11:13 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana manabii wote na Torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.
Mathayo 11:13 NEN (Neno)
Kwa maana manabii wote na Sheria walitabiri hadi wakati wa Yohana.