Mathayo 10:9 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 10:9 BHN (Biblia Habari Njema)
Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala sarafu za shaba.
Shirikisha
Mathayo 10 BHNMathayo 10:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msichukue dhahabu, wala fedha, wala mapesa mishipini mwenu
Shirikisha
Mathayo 10 SUVMathayo 10:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Msichukue dhahabu, wala fedha, wala pesa mishipini mwenu
Shirikisha
Mathayo 10 SRUVMathayo 10:9 NEN (Neno)
Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu.
Shirikisha
Mathayo 10 NEN