Rukia hadi maudhui

Mathayo 10:5 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 10:5 BHN (Biblia Habari Njema)

Yesu aliwatuma hao kumi na wawili na kuwapa maagizo haya: “Msiende kwa watu wa mataifa mengine, wala msiingie katika miji ya Wasamaria.

Mathayo 10 BHN

Mathayo 10:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie.

Mathayo 10 SUV

Mathayo 10:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Hao Kumi na Wawili Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie.

Mathayo 10 SRUV

Mathayo 10:5 NEN (Neno)

Hawa kumi na wawili, Yesu aliwatuma akawaagiza: “Msiende miongoni mwa watu wa Mataifa, wala msiingie mji wowote wa Wasamaria.

Mathayo 10 NEN